katika hali isiyo ya kawaida walimu wapya waliopangiwa Kigoma wameangua kilio baada ya kuona wanapelekwa katika maeneo wasiyo tegemea, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma emikri hali hiyo nma kuwaoma walimu wasikate tamaa, lakini je ni kweli mazingira ya walimu ni mazuri kiasi cha kuwafanya kupenda kazi yao?
Ahsante Mgulani 99 Foundation.
JibuFutaTaratibu ndo mwendo!!!
Kaka tutafika kidogo kidogo ndo mwendo kama ulivyosema muhimu ni kundelea kupeana maushauri na moni ili tufike tuendako kaka
JibuFuta