Ni Shirika lisilo la Kiserikali lililoanzishwa na Vijana waliohitimu Shule ya Msingi Mgulani mwaka 1999.
Jumanne, 5 Machi 2013
KUNA USALAMA?
PICHA 1 KUSHOTO: mzazi na watoto wake wakivuka daraja hatarishi. PICHA 2 KULIA: Mwendesha pikipiki akivuka daraja hatarishi kwa shida . PICHA 3 CHINI: Wasichana wakivuka daraja hatarishi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni