Wajumbe wa Mgualni 99 organization, kikao chetu kitakuwa tarehe 30/3/2013. Wajumbe wote halali mnatakiwa kuhudhuria kikao chetu hicho ambacho kiutaratibu ni kikao chetu cha tatu kikatiba. Kikao chetu kitakuwa na mambo kadhaa ya kujadiliana ili kuweza kufikia malengo kusudiwa
Response bado ni ndogo sana kwa wajumbe, itafika kipindi ambacho hatutambembeleza mtu na tutafuata katiba na sheria tukizojiwekea.
JibuFuta