Ijumaa, 15 Machi 2013

MCHAKATO WA UAJILI WA ORGANIZATION

 Picha hiyo inamuonesha M/hazina akiwa katika mchakato wa kufuatilia masuala ya TIN no. na kodi ambazo tutawajibika kuzilipa pindi tu mambo ya kupatiwa TIN namba yatakapokamilika muda si mrefu. Bwana Massamu anastahili kupongezwa kwa kazi nzuri ya kujumika na viongozi wenzake wa Organization kwa jinsi anavyojitolea muda na jitihada zake katika kuhakikisha kuwa mambo yanaenda sawa
picha hii ni Joseph Massamu - M/HAZINA, Elton Mnunga- KATIBU na John Nkungu-MWENYEKITI. viongozi wa Orginization wakiwa wamepumzika ili pia kupata wasaha wa kubadilishana mawazo ya nini kifanyike baada ya mchakato wa siku hiyo. Siku hii ilikuwa na mambo mengi sana lakini hakuna lenye mwanzo linalokosa kuwa na mwisho

Maoni 2 :

  1. Hongereni sana watu wa Mungu, poleni na majukumu yote..... Msikate tamaa

    JibuFuta
  2. Washkaji mnapiga kazi sana....pongezi kwenu ...pamoja sana

    JibuFuta