UTAMBULISHO
Kama utakuwa umesahau kuhusu majina ya watu hawa na hebu nikukumbushe
KUANZIA KUSHOTO WALIOSIMAMA: Nkole Rutengwe, Laurian William, Daniel Manege, Baba Tojo au kwa jina rasmi ni Thobias Jonas, ni kama anachana mistari vile huyo ni Lugano Nissa, pembeni yake kijana anayeonekana kama mtulivu vile,huyo ni Mathew Mgwabati, pembeni yake ni Eva Greyson na mwisho ni Elton Mnunga
KUANZIA KUSHOTO WALIOCHUCHUMAA: Elias Mwanyika a.k.a Kanali vijoka au Madodo. aliyeinamisha kichwa chini ni Mustafa shaibu au Chafaka mzee wa kukuzimia sigara ya macho kama utamzingua, pembeni yake ni Colman Peter Kadili. Binti aliyeshikwa bega ni Tabitha Mfikwa na mwisho kabisa ni Beda Peter a.k.a Rick Rose baada ya kuwa mtu mzima ndo anajiita jina hilo.
Niambie unakumbukumbu gani nyingine, hebu weka picha au toa maoni yako hapo
hahahahaha!!!Safi sana jamani!!!!Lugano ulikua na vituko mno!!!Daniel pale kati naye kaweka pozi la ngumi ngumi wakati Laurian kamaliza na swag kama kawa.
JibuFuta