Haya tena ndugu zangu na hebu tuwakumbuke na hawa wafuatao;
KUSHOTO KUELEKEA MSTARI WA NYUMA: Elton mnunga, Oscar Leonard, Mustafa Shaibu, Ahobokile Mwandiga, anayefuata jina limenitoka lakini alikuwa ni mtu wa vituko na komedi sana,kama utamkumbuka jina hebu niambie na mimi nimkumbuke, anayefuata ni David Kasanja, Said Adamu, Clarence John na nyuma yake pia nimemsahau dah sijui inakuwaje lakini ndo hivyo sababu ya muda ni mrefu umepita
MSTARI WA MBELE: Mathew Mgwabati, Abdul Sultan, Nelson Rwezaura na Imani Kifukwe
Picha hii pia ni baadaya mtihani wa darasa la saba mwaka 1999
Huyo uliyemsahau ambaye akitoka yeye ndio anafuata Ahobokile Mwandiga, huyo jamaa anaitwa Salehe Mustapha aka Must aka Chafaka.....
JibuFutaalikuwa miongoni mwa ma best zangu
Kutoka kushoto kwenda kulia huko nyuma, baada ya Mwandiga anayefuata bila shaka ni Hussein Yusuph....!!
JibuFutaMimi nimependa pozi la Mgwabati ......hahaha kama yupo kwenye Bustani vile!!!