Hakuna kufanikiwa hapo, hayo ni mateso tu na kupunguza siku za kuishi kwa binadamu.... Kazi ya kuokota machupa inavyofanyika hapa kwetu TZ ni tofauti sana na inavyofanywa katika nchi zinazojielewa, pia ni tofauti na maelekezo ya mashirika mbalimbali ya haki za binadamu.... Hiyo kazi kwa hapa bongo huwezi hata ukamshauri mdogo wako aliyekata tamaa aifanye.... Tumuogope Mungu!

JibuFuta