Nkole Rutengwe anatarajiwa kusafiri kesho tarehe 11/ march/2013 kwenda morogoro ambako ndiko watakakokwenda kuzika.
Mohamed Abdulrahman yeye walishasafirisha kuelekea Tanga.
Tunawashukuru wote mlioonesha ushirikiano nasi na kwa wenzetu waliofiwa na tunaamini kuwa tutaendelea kushirikiana kwa kila jambo. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA
Kwa nafasi ya pekee kabisa, nichukue fursa hii kuwapa pole wapendwa wetu kwa majanga hayo!!
JibuFutaMungu awatie nguvu na muamini kuwa wapendwa wetu waliotutangulia wapo kwenye pumziko la heri, na siku moja tutajumuika nao kwa upendo katka maisha yasiyo na mwisho.
Wapumzike kwa amani wapendwa wetu Amen!!
Lugano
thanks kaka Luggy, usemalo ni la kweli tupu ndugu yangu
JibuFutaAhsanteni sana wakuu!!!mimi na familia yangu tumepoa Alhamdulillah.
JibuFutaMwenyezi Mungu awazidishie kila jema maradufu.