kutokea kushoto waliosimama.. Adul (sijui yupo wapi huyu mpemba), John Komba (yupo huku mtaani keko, anatia huruma sana saiv), Ambele Joshua (mara ya mwisho kumuona ilikuwa 2008), Emmanuel Kyando (sijui yupo wapi huyu mtata)!
Enock Sylivester, Raymond Mathias,.... dah hao watatu wengine nimeshindwa kuwakumbuka siwaoni vizuri....
Kumbukumbu nzuri ila zinatia uchungu kama baadhi ya ndugu hawapo katika hali kama ambazo tuliachana nao
ni kweli kaka luggy lakini historia hatuwezi kuikwepa ni lazima tutaipitie tu. Kiukweli maisha ndivyo yalivyo hatuwezi wote kuishia sehemu moja lazima kuna wakati tutaachana tena katika hali tofauti, wapo watakaofurahia maisha na wapo watakaoona maisha kwao ni kama adhabu na wanafikia kufikiria namna ya kujiondoa duniani ili kusitisha matatizo yao. Sasa, kwa upande wetu sisi tuliosalama kwa wakati huu, hatuna budi kuangalia namna ya kuwasaidia watu kama hao sbb bado ni ndugu zetu
kutokea kushoto waliosimama.. Adul (sijui yupo wapi huyu mpemba), John Komba (yupo huku mtaani keko, anatia huruma sana saiv), Ambele Joshua (mara ya mwisho kumuona ilikuwa 2008), Emmanuel Kyando (sijui yupo wapi huyu mtata)!
JibuFutaEnock Sylivester, Raymond Mathias,.... dah hao watatu wengine nimeshindwa kuwakumbuka siwaoni vizuri....

Futa