Jumatano, 27 Machi 2013

KIKAO CHA WANA-MGULANI NI 30/3/2013

Wajumbe wa Mgualni 99 organization, kikao chetu kitakuwa tarehe 30/3/2013. Wajumbe wote halali mnatakiwa kuhudhuria kikao chetu hicho ambacho kiutaratibu ni kikao chetu cha tatu kikatiba. Kikao chetu kitakuwa na mambo kadhaa ya kujadiliana ili kuweza kufikia malengo kusudiwa

Maoni 1 :

  1. Response bado ni ndogo sana kwa wajumbe, itafika kipindi ambacho hatutambembeleza mtu na tutafuata katiba na sheria tukizojiwekea.

    JibuFuta