Baadhi ya wanachama wakiwa wanawasubiri wanachama wengine wafike ili kikao kianze
hapo kuna jackson Mathew, John Nkungu, Joseph Massamu na Suzanna Kanju
picha hii: Uhoto; Suzanna Kanju, Elton Mnunga, Jackson Mathew na Jihn Nkungu
Kadri mudas ulivyoukuwa unakwenda ndivyo wajumbe walikuwa wanaongezeka
hawa ni :kushoto ni Nkole Rutengwe, Imani Kifukwe na John Nkungu wakiwa wasalimiana habari za siku nyingi
KATIKATI NI" Said Jongo ndio amewasili katika kikao
Bado ni maongezi tu, kuhusu mambo mbalimbali kabla ya kikao
kiukweli inaleta raha kuona wanajamii moja tumekutana kwa mipango endelevu, muungano huu uwe wa kweli ili kusudi uwe na manufaa ya kweli kwetu
JibuFuta