Jumanne, 12 Machi 2013

Aibu,vyoo vya shule karne ya 21

Kwa ufupi
Tafiti zabainisha shule nyingi nchini zina vyoo duni sana  ukilinganisha na mataifa mengine Afrika Mashariki. Wasomi wasema vyoo visivyofaa huchangia maendeleo mabaya kwa watoto wa kike hasa waliovunja ungo, kwa vile hushindwa kujisitiri vizuri wanapokuwa hedhi, hivyo kusababisha baadhi yao kutokwenda shule.
Wanafunzi wa kike hulazimika kuomba huduma za kujisaidia kwenye vyoo vya karibu na shule, huko baadhi yao wanabakwa au kufanyiwa ukatili mwingine wowote

Maoni 3 :

  1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  2. Dah hata vya mgulani vilikuwa na afadhali sana aiseee

    JibuFuta
  3. ni kweli kaka maana ni aibu hii, pia naomba uwafahamishe wadau wengine jinsi ya kutuma maoni yao maana wengi huishia kuangalia na hawaoni sehemu yakutuma maoni yao

    JibuFuta