Ijumaa, 1 Machi 2013

The Only Place where you Meet your Old school Friends and Share the future

 KUUNDWA KWA ASASI YA  MGULANI 99 ORGANIZATION

Vijana waliohitimu shule ya msingi Mgulani walikutana tarehe 19/ januari/2013 na kuamua kuunda asasi itakayokuwa na malengo ya kuisaidia jamii katika masuala mbalimbali hususani yale mtambuka kama vile athari za mabadiliko ya hali yahewa, ujinga na umaskini kwa njia ya kujitolea ( voluntarily)

Maoni 5 :

  1. Bravos!!! Kazi nzuri Katibu

    JibuFuta
  2. Hongera kwa Blog, ni kitu cha kuupongeza uongozi wetu, ni hatu nzuri sana kwa kuanzia....
    Napata matumaini kuwa kumbe nipo na watu makini sana..

    Mungu atusaidie tufike!

    JibuFuta
    Majibu
    1. Ndugu zangu kiukweli tupo serious sana na hatutaki kurudi nyuma, moto tulioanzisha hautorudi nyuma mpaka tufikie malengo yaliyokusudiwa, tunaomba kupokea maoni yenu kwa nguvu zote ili kuitangaza blog yetu na ifike mbali, Pamoja tutafika

      Futa
  3. tunaendelea kupokea maoni kutoka kwa wadau wa Mgulani 99 organization. Mapambano yanendelea kufikia lengo. Tuisadie jamii yetu kupunguza na kama si kuziondoa changamoto zinazowakumba kila leo. Huu ni mwanzo wa safari ya Mgulani 99 Organization, kwa umoja wetu tutafikia malengo na itasaidia kuleta mabadiliko katika jamii tuliyonayo kwa kuwarudishia fadhira ya elimu waliyotupatia

    JibuFuta