Ijumaa, 5 Aprili 2013

MATUKIO SIKU YA KIKAO CHA TAREHE 30/3/2013


Enzi za Abiko Hall, hapo tupo tunajaribu kukumbushia


Mgulani ilivyo hivi sasa: Darasa la Saba A na B yanaonekana, kushoto kwake ndiyo  kuna Abiko Hall



 

Maoni 2 :

  1. Abiko Hall ni kumbukumbu nzuri na isiyosahaulika kwa wanamgulani organization, kiukweli tumetoka mbali sana na yatupasa kumshukuru mungu kwa hapa tulipofikia tena tukiwa wazima wa afya.

    JibuFuta
  2. Naona wamepaka rangi majiwe ya kwenye bustani tu...!
    Madarasa rangi hazivutii sana, naweza pata picha ya ndani hayo madarasa

    JibuFuta