Ni Shirika lisilo la Kiserikali lililoanzishwa na Vijana waliohitimu Shule ya Msingi Mgulani mwaka 1999.
Abiko Hall ni kumbukumbu nzuri na isiyosahaulika kwa wanamgulani organization, kiukweli tumetoka mbali sana na yatupasa kumshukuru mungu kwa hapa tulipofikia tena tukiwa wazima wa afya.
Naona wamepaka rangi majiwe ya kwenye bustani tu...!Madarasa rangi hazivutii sana, naweza pata picha ya ndani hayo madarasa
Abiko Hall ni kumbukumbu nzuri na isiyosahaulika kwa wanamgulani organization, kiukweli tumetoka mbali sana na yatupasa kumshukuru mungu kwa hapa tulipofikia tena tukiwa wazima wa afya.
JibuFutaNaona wamepaka rangi majiwe ya kwenye bustani tu...!
JibuFutaMadarasa rangi hazivutii sana, naweza pata picha ya ndani hayo madarasa