Jumanne, 2 Aprili 2013

KIKAKO CHA TAREHE 30/3/2013

WALIOSHIRIKI NI HAO

Siku hii tulipata wajumbe wengi ambao walikuwa charming sana: nikianzia kushoto waliosimama nikwamba tuna : Zakayo Dominick, Andrew Mande , Shamira Shaibu, Suzanna Kanju, Mohamed Abdulrahman a.k.a Alra Ul Qaime, Lugano Nissa, Daniel Athony, Imani Kifukwe, John Nkungu, Abdul Sultan, Yahaya a.k.a Yaki Bozi na Nkole Rutengwe

Waliochuchumaa kuanzia kushoto ni: Joseph Massamu, Elias Mwanyika na Victor Akyoo Ngole
siku hiii ilikuwa ni siku nzuri kwa tuliokutana

Maoni 1 :

  1. Kikao kilikuwa kizuri sana na tunashukuru kwa wajumbe wote waliofika katika kikao kile.

    JibuFuta